HAALAND THAMANI YAKE EURO BILIONI 1

UMESIKIA hiyo, thamani ya staa wa Manchester City, Erling Haaland kwa sasa ni euro bilioni 1. Haya yameelezwa na wakala wa staa huyo, Rafaela Primenta ambaye anamsimamia Haaland na mastaa wengine akiwemo Paul Pogba, Marco Verratti, Gianluigi Donnarumma, Matthijs de Ligt. Staa huyo ndani ya Manchester City kwenye Premier msimu huu amefanikiwa kufunga mabao 26,…

Read More

RASHFORD, OSIMHEN, MBAPPE HAWAZUILIKI

SAPRAIZI za kutosha zilijiri wikiendi iliyopita ndani ya ligi tano bora Ulaya. Hii ni kwa namna mambo yalivyoonekana katika viwanja  tofauti kwenye ligi za Bundesliga, La Liga, Serie A, Premier League na Ligue 1. Huko Ulaya vita ilikuwa kali lakini kuna mastaa walionekana kuendelea kutisha kwa kuzibeba timu zao kama Marcus Rashford, Victor Osimhen, Kylian…

Read More

MASHABIKI MNASTAHILI PONGEZI

MASHABIKI mnastahili pongezi kwa namna ambavyo mmekuwa bega kwa bega na wawakilishi wa Tanzania kwenye anga za kimataifa. Tunaona kwenye kila hatua mmekuwa pamoja na timu pale zinapofanya vizuri mnafurahi pamoja na pale zinaboporonga mnatoa ushauri kwa viongozi. Kuna mengi ya kujifunza kwa mechi za kimataifa ikiwa hata namna ya ushangiliaji pamoja na kutokata tamaa…

Read More

YANGA YAITEMBEZEA KICHAPO TP MAZEMBE KIMATAIFA

YANGA imesepa na pointi tatu mazima kwenye mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya TP Mazembe. Ikiwa Uwanja wa Mkapa ubao umesoma Yanga 3-1 TP Mazembe kwenye mchezo wa pili hatua ya makundi kimataifa. Ni Kennedy Musonda alifungua ukurasa wa mabao dakika ya 6 kamba ya pili Mudhathir Yahaya ile ya tatu mali ya Tuisila…

Read More

AZAM FC HAINA PRESHA NA SIMBA

KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa maandalizi ambayo wanafanya kwa sasa ni kuelekea mchezo wao dhidi ya Simba. Azam FC inatarajiwa kumenyana na Simba, Februari 21 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi. Ongala amesema kuwa wachezaji hawana hofu na mechi kubwa zaidi ya kuwa na hamasa…

Read More

KIMATAIFA:YANGA 2-0 TP MAZEMBE

DAKIKA 45 bora kwa Yanga kutokana na kucheza soka la kushambulia na utulivu mkubwa dhidi ya TP Mazembe. Ni uhakika kusepa na milioni 10 ambazo ni zawadi kutoka kwa Mama ambaye aliahidi kutoa kila M 5 kwa bao moja kwenye anga za kimataifa. Ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 2-0 TP Mazembe ambao hawaamini…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA TP MAZEMBE

HIKI hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe, Uwanja wa Mkapa Diarra Djuma Shaban Joyce Lomalisa Bakari Mwamnyeto Dickson Job Khalid Aucho Jesus Moloko Yannick Bangala Fiston Mayele Mudhathir Yahya Kennedy Musonda Akiba Metacha Bacca Kibwana Mauya Sure Boy Farid Kisinda Aziz KI Clement Mzize Tags # kitaifa

Read More