WIKIENDI YENYE MECHI KUBWA NA KALI LIVERPOOL VS CHELSEA, ARSENAL VS MAN UTD, MAN CTY VS WOLVES, SERIE A KUTAWAKA MOTO NA LA LIGA NI BARCA NA REAL MADRID

Kila mtu huwa na sehemu anayoipenda Zaidi ambayo inampatia furaha kila siku, Chimbo lako ni moja tu kama ukitaka kubeti wikiendi hii jiunge na familia ya Meridianbet ushindi ni uhakika, kila mechi wanatoa Odds Bomba za Ushindi. Wikiendi hii ni ya moto mno usipime mtu wangu, utaelewa ni kwanini nakwambai ya moto ebu fikiria moto…

Read More

YANGA YAIVUTIA KASI RUVU SHOOTING

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo awali ulitarajiwa kuchezwa Januari 21 lakini umepelekwa mbele mpaka Januari 23,2023 Uwanja wa Mkapa. Kamwe amebainisha kuwa wanatambua mchezo huo utakuwa mgumu lakini wapo tayari kupata ushindi. “Moja ya…

Read More

SIMBA WAWAFUATA DODOMA, MAKAO MAKUU

KIKOSI cha Simba kimewasili Dodoma,makao makuu ya Tanzania leo Januari 20,2023. Chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliviera kikosi hicho kilianza safari mapema leo mchana kutoka Dar. Mchezo huo utakuwa ni wa pili kwa Oliviera baada ya ule wa kwanza kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 3-2 Mbeya City. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo…

Read More

JEMBE JIPYA MTIBWA SUGAR LAANZA KAZI

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar Vitalis Mayanga ataonekana ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani akitumia jezi namba 27. Alikuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania anaanza changamoto mpya ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar kinachonolewa na Kocha Mkuu, Salum Mayanga. Mshambuliaji huyo msimu uliopita hakuwa kwenye mwendo bora ndani ya kikosi cha…

Read More

KUPATWA KWA PIRA DUBAI UWANJA WA MKAPA

DAKIKA 90 zilikuwa za kazi huku pira Dubai likionekana kupatwa tabu mbele ya Mbeya City ambao walionesha ushindani wakitaka kusepa na pointi. Dakika tatu ziliwatosha Mbeya City kusawazisha bao la Ntibanzokiza dakika ya 10 kupitia kwa Richardson Ngo’dya ambaye alitumia makosa ya mabeki wa Simba. Kipindi cha pili Simba ilipata bao lililoonekana kulalamikiwa na wachezaji…

Read More

UJUZI WA MBRAZIL KUONEKANA LEO KWA MKAPA

MASHABIKI wa Simba leo Januari 18,2023 wanatarajia kuona ujuzi wa Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ambaye anashikirikiana na mzawa Juma Mgunda.. Mchezo wa leo ni dhidi ya Mbeya City inayotumia Uwanja wa Sokoine kwenye mechi za nyumbani. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Sokoine walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Katika…

Read More