DODOMA JIJI HAWAPOI, WAJA NA MKWARA HUU
UONGOZI wa Dodoma Jiji umeanza kutamba mapema baada ya ratiba ya Ligi Kuu Bara kutangazwa huku wakitarajia kufungua pazia kwa kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Mabingwa wa ligi msimu wa 2022/23 ni Yanga waliokuwa wakinolewa na Nasreddine Nabi ambaye hatakuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Mbali na Nabi…