
HAYA HAPA KUTEKA SHOW SIKU YA SINGIDA FOUNTAIN GATE DAY
MIPANGO mikubwa ndani ya Singida Fountain Gate inayoshiriki Ligi Kuu Bara inaendelea ikiwa ni pamoja na siku maalumu ya utambulisho wa wachezaji wao pamoja na benchi la ufundi. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 ilikuwa inaitwa Singida Big Stars na ilikuwa inatumia Uwanja wa Liti kwa mechi za nyumbani. Msimu wa 2023/24 itakuwa ni Singida Fountain…