CHEZA MERIDIANBET KASINO USHINDE TSH 2,500,000/=

Shindano hili linakuletea furaha na zawadi bomba kutoka kwa Mascot na Meridianbet kasino ya mtandaoni! Shindano la Spring Mascot linafanyika kuanzia tarehe 21 hadi 27 Aprili kupitia kasino ya mtandaoni ambapo litakupa sababu halisi ya kwa nini Spring ni msimu mzuri zaidi. Furahia michezo iliyochaguliwa na shindania mgao wako wa TZS 2,500,000. JUMLA YA ALAMA…

Read More

SEVILLA HAO NUSU FAINALI

KLABU ya Sevilla imetinga hatua ya nusu fainali Europa League kwa jumla ya ushindi wa mabao 5-2 Manchester United. Katika mchezo wa robo fainali wa pili wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Manchester United uliochezwa Aprili 20. Mabao ya Sevilla yalifungwa na Youssef En Nesyri ambaye alipachika mawili dakika ya 8,81 na moja…

Read More

MAYELE, MUSONDA WAPEWA MAAGIZO MAALUM YANGA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema washambuliaji wake ikiwa ni Fiston Mayele na Kennedy Musonda wanapaswa kuongeza umakini kwenye kutumia nafasi wanazopata ili kufunga mabao mengi. Yanga ni vinara wa Ligi Kuu Bara msimu huu, kibindoni wana pointi 68 baada ya kucheza mechi 26, tofauti ya pointi tano na watani zao wa jadi Simba…

Read More

AKILI ZA SIMBA NI KWA WAARABU WYDAD

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari amesema kuwa kwa sasa ambacho wanakifikiria ni ushindi dhidi ya Wydad  ambao ni hatua ya robo fainali. Tayari wapinzani hao wamewasili Tanzania Aprili 19 wakiwa kamili kwa ajili ya mchezo huo ambao utachezwa Uwanja wa Mkapa, Jumamosi. “Hakuna jambo lingine lolote tunaweza kuwaza kwa sasa zaidi ya kumfunga…

Read More

AZAM FC HESABU KWA RUVU SHOOTING

AZAM FC hesabu zao kwa sasa ni mchezo ujao dhidi ya Ruvu Shooting ambao unatarajiwa kuchezwa Morogoro. Katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara, Azam FC iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar. Kituo kinachofuata ni Aprili 22 ukiwa ni mchezo wa kufunga mwezi kuukaribisa Mei. Kali Ongala, Kocha Mkuu wa Azam…

Read More

YANGA KUWAFUATA RIVERS UNITED KAMILIKAMILI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa hatua a robo fainali dhidi ya Rivers United ambao ni wa Kombe la Shirikisho Afrika. Ni mchezo wa hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika baada ya timu hiyo kutinga wakiwa ni vnara wa kundi. Ally Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga…

Read More

HUYU HAPA MWAMUZI MECHI YA SIMBA V YANGA

JONESIA Rukya ametangazwa kuwa mwamuzi wa kati mchezo wa Ligi Kuu Bara Kati ya Simba v Yanga unaotarajiwa kuchezwa kesho Aprili 16, Uwanja wa Mkapa. Huo ni mchezo wa mzunguko wa pili unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa Kwa timu zote mbili kusaka ushindi. Jonesia kutoka Kagera atashirikiana na Mohamed Mkono ambaye atakuwa line 1, Janeth…

Read More

SIMBA WAIFUNGIA KAZI YANGA, WAWEKA MKWANJA WA MAANA

Mabosi wa Simba wameamua kuifungia kazi Yanga inayonolewa na Kocha, Nasreddine Nabi kwani wamesema hawataki chochote zaidi ya ushindi katika Kariakoo Dabi. Kutokana na jambo hilo tayari wameandaa bonasi ya kutosha ya zaidi ya Sh 300 Mil kwa wachezaji ili kufanikisha ushindi Jumapili. Katika mchezo huo, Simba wataingia wakiwa na hasira ya kufungwa mara mbili…

Read More

BEKI HUYU YANGA KUIKOSA DABI KWA MKAPA

BEKI wa Yanga, Mamadou Doumbia raia wa Mali hatakuwa sehemu ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa kesho. Sababu kubwa za beki hilo ambalo lilichomolewa kwenye mashindano ya ndani maarufu kama Chan akiwa na timu ya taifa ya Mali ni kutangulia mbele za haki kwa baba yake mzazi. Taarifa rasmi iliyotolewa…

Read More