
YANGA NA UBINGWA WA FA
CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa wachezaji wamejituma kucheza dhidi ya timu ngumu katika fainali. Yanga imeshinda dhidi ya Azam FC kwenye fainali ya Kombe la Azam Sports Federation. Ubao wa Uwanja wa Mkwakwani umesoma Azam FC 0-1 Yanga. Mtupiaji ni Kennedy Musonda dakika ya 14 akifunga bao pekee ambalo limedumu mpaka mwisho…