
ISHU YA PENALTI YAMVURUGA GAMONDI
ZAWAD Mauya, kiungo mzawa mkabaji ndani ya kikosi cha Yanga amekutana na kisanga kutoka kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi baada ya kuwa chanzo cha penalti katika mchezo huo. Ikumbukwe kwamba Yanga katika mechi tano mfululizo ilizocheza ilikuwa haijaruhusu bao la kufungwa rekodi hiyo ilitibuliwa na ASAS FC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa…