Chelsea Yapanda Nafasi ya Pili Baada ya Kuinyuka Burnley 2-0
Chelsea imechukua alama zote tatu kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Burnley katika dimba la Turf Moor na kukwea mpaka nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu England alama 23 baada ya mechi 12. FT: Burnley 0-2 Chelsea ⚽ 37’ Neto ⚽ 88’ Fernandez