Simba Yaelekea Visiwani Zanzibar Kujiandaa na Dabi
Klabu ya Simba Yaelekea Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kucheza mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaopigwa Machi 1, 2026 katika Dimba la Amaan Complex, dhidi ya Yanga SC. Je, unadhani Mnyama atafuta uteja kwa Yanga?