
Sports


YANGA YAVUNA POINTI MOJA UGENINI
KATIKA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wawakilishi wa Tanzania, Yanga wakiwa ugenini wamevuna pointi moja. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Baba Yara Sports umesoma Medeama 1-1 Yanga ambapo mabao yote yamefungwa kipindi cha kwanza katika dakika 45 za mwanzo. Medeama walianza kupata bao kwa mkwaju wa penalti dakika ya 27 kupitia…

CHAMA KUKABIDHIWA WAARABU CAF
KUTOKANA na kasi aliyoanza nayo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy akianzia benchi kunauwezekano mkubwa kiungo Clatous Chama akaanza kikosi cha kwanza. Chama alitimiza majukumu yake kwa umakini dakika 28 alizozitumia dhidi ya Jwaneng Galaxy alipochukua nafasi ya Willy Onana aliyeanza kikosi cha kwanza. Ikumbukwe kwamba huo ulikuwa ni mchezo…

;IGI YA MABINGWA AFRIKA: MEDEAMA 1-1 YANGA
MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika dakika 45 ubao wa Uwanja wa Baba Yara Sports unasoma Medeama 1-1 Yanga ikiwa ni dakika 45 za mwanzo. Medeama walianza kupata bao kwa mkwaju wa penalti dakika ya 27 kupitia Kwa Jonathan likawekwa usawa na Pacome Zouzoua dakika ya 36. Ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua…

MAMBO NI MOTO WIKENDI HII SUKA JAMVI LAKO UPIGE MPUNGA!
Baada ya pilika pilika za wiki nzima sasa tumerejea kwenye jambo letu ambalo si lingine bali ni hili la kutengeneza jamvi lako ukiwa na Meridianbet ambalo litakufanya ukusanye mpunga wa maana na ukaifurahia siku yako vizuri kwani hakuna anayependa kukosa pesa. Ingia meridianbet na usuke mkeka wako. Na mimi nakupeleka moja moja kwenye ligi pendwa…

YANGA MATUMAINI MAKUBWA KIMATAIFA
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa bado una nafasi ya kufanikisha malengo yao licha ya kuanza kwa kusasua kwenye mechi za mbili za hatua ya makundi, Ligi ya Mabingwa Afrika. Baada ya kukomba dakika 180 kibindoni ni pointi moja ilivunwa kutokana na sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Al Ahly, mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa….


Ni Kasino Gani Rahisi Kucheza na Kushinda Meridianbet
Hot Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya kasino ya mtandaoni Meridianbet yenye nguzo tano zilizopangwa katika safu tatu na ina mistari ya malipo 20 zilizofungwa. Ili kufanikisha ushindi wowote, ni lazima upate alama tatu au zaidi zinazofanana katika mfuatano sahihi. Kwenye sloti hii ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet alama ya tunda la…

HAYA HAPA MAJEMBE YA KAZI YA GAMONDI KIMATAIFA
KWENYE anga la kimataifa Yanga inayopeperusha bendera Ligi ya Mabingwa Afrika ina wachezaji waliopenya kikosi cha kwanza katika mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika na kukomba dakikazote 90 mwanzo mwisho. Ikumbukwe kwamba leo Yanga ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Medeama ya Ghana huenda wakaanza kikosi cha kwanza.

MTIBWA SUGAR YAPOTEZA TENA UGENINI
HAIJAWA kwenye mwendo mzuri Klabu ya Mtibwa Sugar ndani ya msimu wa 2023/24 kutokana na kukwama kupata pointi tatu ugenini. Desemba 7 ikiwa ugenini imepoteza pointi tatu dhidi ya Namungo FC kwa kushuhudia ubao ukisoma Namungo 1-0 Mtibwa Sugar. Bao la ushindi lilifungwa Derick Mukombozi ambapo Mtibwa Sugar ilitoka kupoteza mchezo wao dhidi ya Azam…

NYOTA SIMBA AMEPEWA ONYO NA BENCHIKHA
WAKIWA na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco Desemba 9 2023 mshambuliaji Jean Baleke amepewa onyo na Kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha. Ikumbukwe kwamba Simba haijapata ushindi kwenye mechi zake zote mbili hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa na pointi mbili kibindoni.

YANGA:HATURUDII MAKOSA, NYOTA SIMBA WAAPA KUFA NA WYDAD
Mastaa Yanga… Haturudii makosa, Nyota Simba waapa kufa na Wydad ñdani ya Championi Ijumaa

KIUNGO MGUMU KAANZA NA REKODI YAKE SIMBA
KIUNGO wa kazi ngumu, Sadio Kanoute ameanza na rekodi yake mbele ya kocha mpya, Abdelhak Benchikha kwa kuwa nyota wa kwanza kuonyeshwa kadi ya njano katika mchezo wa kwanza kukaa benchi. Ikumbukwe kwamba Benchikha ni mrithi wa mikoba ya Roberto Oliveira, mchezo wake wa kwanza kukiongoza kikosi cha Simba ilikuwa Desemba 2, alishuhudi ubao ukisoma…

AZAM FC YAIPIGA 5 G KMC, YASHIKILIA USUKANI
MATAJIRI wa Dar Azam FC ni namba moja katika msimamo wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 25 baada ya kucheza mechi 13 wanafuatiwa na Yanga nafasi ya pili pointi 24 baada ya kucheza mechi 9. Desemba 7 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 5-0 KMC. Ni Prince Dube dakika ya 23…

MAJEMBE YATAKAYOCHUKUA NAFASI YA MWAMBA LOMALISA
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamond Desemba 8 ina kibarua cha kusaka ushindi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana. Ni Joyce Lomalisa huenda akakosekana baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Gamondi ameweka wazi kuwa kuna nyota wawili ambao watabeba mikoba…

MANCHESTER CITY MAMBO SIO MAMBO LIGI KUU YA UINGEREZA
Mambo yanaonekana kuwaendeo kombo mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City, Kwani mpaka sasa wamecheza michezo minne ya ligi kuu ya Uingereza hivi karibuni na hawajapata matokeo ya ushindi katika mchezo wowote. Matokeo ya hivi karibuni ya klabu hiyo ambayo imetawala ligi kuu ya Uingereza kwa miaka saba nyuma hayaleti picha…

KIMATAIFA UKUTA WA YANGA UNASUKWA UPYA
MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa kuna kazi kubwa ya kuongeza umakini kwenye eneo la ulinzi ili kuzuia kufungwa katika mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika. Timu hiyo baada ya kucheza mechi mbili ambazo ni dakika 180 imeokota mabao manne kwenye nyavu.