
BENCHIKHA AANZA MASHINE NNE SIMBA SC
RASMI Kocha Mkuu wa Simba raia wa Algeria, Abdelhak Benchikha ameikabidhi Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo, majina ya wachezaji wanne anaotaka wasajiliwe katika dirisha dogo la usajili msimu huu. Hiyo ni katika kuhakikisha anatengeneza kikosi imara kitakacholeta ushindani katika msimu huu ambao wamepanga kufika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wapo…