
YANGA HAWANA JAMBO DOGO YATUMA UJUMBE HUU CAF
YANGA hawana jambo dogo watuma ujumbe huu kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi kutoka Afrika Kusini mchezo unaotarajiwa kuchezwa Machi 30 2024 Uwanja wa Mkapa
YANGA hawana jambo dogo watuma ujumbe huu kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi kutoka Afrika Kusini mchezo unaotarajiwa kuchezwa Machi 30 2024 Uwanja wa Mkapa
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai 2023 hadi Februari, 2024 Wizara kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imetumia kiasi cha Shilingi Bilioni 2.4 kugharamia timu mbalimbali za Taifa katika mashindano ndani na nje ya nchi. Mhe. Ndumbaro amesema hayo wakati akiwasilisha utekekezaji wa Bajeti…
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema vifaa vya kiteknolojia kwa ajili ya kuwasaidia waamuzi (VAR), vitaanza kutumika rasmi katika mechi za Ligi Kuu Bara kuanzia msimu ujao. Karia pia amekaribisha maoni ya kanuni ya kuzikata timu pointi ambazo wachezaji au mashabiki wake wataonekana kufanya vitendo vinavyoashiria ushirikina na kuingia uwanjani wakati…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya kikosi cha Simba amebainisha kwamba watakwenda na kasi ya wapinzani wao Al Ahly Waarabu wa Misri kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali. Ikiwa imeweka kambi Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya…
GAZETI lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya ya Simba au Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti la Championi kwa urahisi…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns uongozi wa Yanga umebainisha kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huku ukibainisha kuhusu hali za wachezaji wao ambao hawapo fiti ikiwa ni Khalid Aucho, Pacome, Kibwana Shomari. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Mahi 30 Uwanja wa Mkapa
MSIMU wa 2023/24 ngoma ni nzito kwa Simba kutokana na mwendo wanaokwenda nao upande wa rekodi za mchezaji mmojammoja pamoja na matokeo ya timu ndani ya tatu bora. Kuna hatihati wakapishana na tuzo walizokomba msimu uliopita wa 2022/23
UONGOZI wa Klabu ya Tabora United umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu Goran Copnovic raia wa Serbia.Rasmi leo Machi 21 2024 taarifa imetolewa baada ya awali tetesi kueleza kuwa kocha huyo amesitishiwa mkataba wake kutokana na mwendo mbovo wa timu hiyo. Tabora United imefikia uamuzi huo kutokana na…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unawajali mashabiki na hauna tamaa ya fedha hivyo wameamua kupunguza viingilio kwenye kila sehemu huku wakiondoa kabisa upande wa mzunguko. Yanga inatarajiwa kuwa na kazi kusaka ushindi Machi 30 mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ambapo tayari maandalizi yameanza kufanyika. Ali Kamwe,…
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly nguzo kubwa ya ushindi ni mashabiki jambo ambalo limewafanya waweke viingilio rafiki. Ipo wazi kwamba Simba ina kibarua cha kusaka ushindi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly hatua ya robo fainali Machi 29 2024 Uwanja…
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa watapambana mpaka tone la mwisho kwenye mechi ambazo wanacheza ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na mechi za kimataifa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikumbukwe kwamba Yanga katika mzunguko wa kwanza ilipoteza mchezo mmoja pekee ugenini kwa kuhushudia ubao wa Uwanja wa Highland Estate ukisoma Ihefu 2-1…
TIMU za taifa za mpira wa kikapu za wanaume (Silverbacks) na wanawake (Gazelles) zimepata udhamini mnono kutoka kampuni ya michezo ya kubashiri ya betPawa wenye thamani ya sh2.6 bilioni za Uganda, sawa n ash Bilioni 1.8 za Kitanzania. Mkataba wa udhamini huo wa miaka mitatu ulisainiwa jana kati ya maofisa wa Shirikisho la Mpira wa…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa wanatambua ugumu uliopo kwenye mashindano wanayocheza lakini wapo tayari kuona kwamba wanashinda mchezo huo ambao ni muhimu kwao. Simba inapeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa hatua ya makundi ambapo kuna timu mbili kutoka Tanzania. Yanga wao watakuwa na…
VITA ya ufungaji bora inazidi kushika kasi ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na kila mchezaji kutimiza majukumu yake ngoma ni nzito kati ya Aziz KI wa Yanga na Feisal Salum wa Azam FC kwa kila mmoja kucheka na nyavu wakiwa na mabao 13 kibindoni.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro, amesema hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Goli la Mama limepanda kiwango kutoka Tsh. Milioni 5 hatua ya makundi hadi milioni 10 katika hatua ya robo fainali.
KOCHA wa Timu ya Taifaya Tanzania, Taifa Stars, Hemedi Sulemaini amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mechi zinazowakabili licha ya hali ya hewa kuwa ngumu kidogo watazoea taratibu. Kocha huyo amebainisha kwamba taratibu wanaendelea kuwa kwenye mfumo kutokana na maandalizi ambayo wanafanya na imani ni kufanya vizuri kwenye mechi zao zote. Taifa Stars…
NDANI ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi kuna pacha yenye maelewano mazuri wakiwa katika kutimiza majukumu yao msimu wa 2023/24