MWAMBA HUYU HAPA MKALI WA PASI JANGWANI
ZIKIWA zimesalia saa chache kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga kuchezwa Uwanja wa Mkapa kuna balaa kubwa eneo la kiungo ambapo yupo mtaalamu wa pasi za mwisho ndani ya kikosi hicho kinacholewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Uwanja wa Mkapa kwa sasa mashabiki waliopo nje wanapambana kujikinga na mvua…