
AZAM FC WATOA TAMKO HILI ISHU YA KUPOTEZA MBELE YA SIMBA
UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa walishindwa kutumia nafasi ambazo walipata katika Mzizima Dabi dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 9 2024. Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 0-3 Simba na pointi tatu zikaelekea Msimbazi. Katika mchezo huo kiungo mshambuliaji Feisal Salum alikosa pigo la penalti dakika ya…