
ENG. HERSI SAID AENDELEA KUIBEBA SOKA LA AFRIKA KUPITIA ACA
Mwaka uliopita, Chama cha Umoja wa Vilabu Afrika (ACA) chini ya uongozi wa Eng. Hersi Said, kilifanikiwa kushawishi CAF kutoa dola 50,000 kwa kila klabu iliyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho (CAF CC) katika hatua ya awali. Kwa msimu huu mpya, ACA imeendelea kupigania maslahi ya vilabu barani Afrika kwa…