
MANCHESTER CITY YAIBAMIZA ATLETICO MADRID
WAKIWA Uwanja wa City of Manchester waliweza kupata ushindi wa bao 1-0 Atletico Madrid ikiwa ni mchezo wa UEFA Champions League. Huu ni mchezo wa kwanza robo fainali na mtupiaji alikuwa ni Kevin De Bruyne ilikuwa dk ya 70. City iliweza kuwa imara kila idara mwanzo mwisho katika mchezo huo licha ya Atletico Madrid kupaki…