
PSG NA ARSENAL KUAMUA HATIMA YA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO
Kipute cha ligi ya Mabingwa barani Ulaya kuendelea leo ambapo Paris Saint German itawakaribisha Arsenal katika dimba la Parc des Princes nchini Ufaransa kucheza mchezo wa mkondo wa pili baada ya ule wa kwanza uliochezwa April 29 katika dimba la Emirates kumalizika kwa PSG kupata ushindi wa goli moja lililofungwa na Ousemane Dembele Dakika ya…