
WATU WAWILI WATHIBITIKA KUWA NA MAAMBUKIZI YA MPOX, WAZIRI MHAGAMA AFUNGUKA
Watu wawili (2) wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox nchini Tanzania. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya Jenista Mhagama kwenye taarifa kwa umma aliyoitoa Machi 10, 2025 akielezea mwenendo wa ugonjwa huo nchini. Waziri Mhagama amesema Machi 7, 2025 Wizara ya Afya kupitia mifumo yake ya ukusanyaji wa taarifa na…