Taifa Stars Kuanza Kampeni ya AFCON 2027 Dhidi ya Guinea-Bissau
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kuanza kampeni yake ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kwa mchezo dhidi ya Guinea-Bissau. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Septemba 18, 2026, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo, amesema maandalizi ya mchezo…