
MWENDO WA AZAM FC BAADA YA MECHI 6
AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina baada ya kucheza mechi 6 za Ligi Kuu Bara imekusanya pointi 7 msimu wa 2021/22. Ipo nafasi ya 10 na imetupia mabao matano huku ikiwa imeruhusu mabao ya kufungwa 7. Haijawa kwenye mwendo mzuri kwa mechi hizi za mwanzo kwa kile ambacho kimeelezwa kuwa ni kushindwa kutumia…