
BURUDANI YA SOKA KUENDELEA KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU!
Kwa wapenzi wa soka, burudani ndio kwanza inaanza, sikukuu inanoga zaidi ukiwa unautizama mkeka wako unavyokuletea faida ndani ya dakika 90. Hii ndio nyumba ya mabingwa, Meridianbet! Jumapili hii, Manchester City watawaalika Leicester City katika ungwe ya pili ya msimu wa EPL, 2021/22. Safari ya ubingwa inaanza kushika kasi, ni Pep Guardiola vs Brendan…