UJUMBE WA MORRISON HUU HAPA
KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, amefunguka kuwa licha ya hali ngumu wanayokutana nayo mwanzoni mwa msimu huu, bado kikosi hicho kina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu. Simba kwa sasa ipo nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa na pointi 11 baada ya kucheza mechi tano za Ligi Kuu Bara. Mchezo wake wa tano iliibuka na ushindi wa…