
AZAM FC WATAMBIA REKODI ZA NYUMBANI,KESHO KUKIWASHA
ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi. Kwenye msimamo ikiwa nafasi ya 3 na pointi 24 itamenyana na Coastal Union iliyo nafasi ya 11 na pointi 17 zote zimecheza mechi 15. Thabit amesema:”Mashabiki waje mapema…