
FISTON MAYELE ATAJA SABABU ZA KUFUNGA MABAO 10
FISTON Mayele mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa sababu kubwa ya kuweza kufunga mabao 10 ndani ya ligi ni kutimiza majukumu yake pamoja na kufanya kile anachokifanya mazoezini. Msimu wa 2021/22 Mayele amecheza mechi 18 na kufunga mabao 10 kati ya 31 ambayo yamefungwa na timu hiyo na ametoa pasi 3 za mabao. Mayele amesema kuwa…