
SIMBA YAMSHUSHA KIUNGO MNIGERIA,AZIZ KI,MAYELE WAKABIDHIWA SIMBA
SIMBA haitanii yamshusha kiungo Mnigeria Dar,kutambulishwa kibosi,Aziz Ki,Mayele wkabidhiwa Simba SC ndani ya Spoti Xtra
SIMBA haitanii yamshusha kiungo Mnigeria Dar,kutambulishwa kibosi,Aziz Ki,Mayele wkabidhiwa Simba SC ndani ya Spoti Xtra
KIUNGO wa Yanga,Bernard Morrison raia wa Ghana leo Agosti 4 inakuwa ni siku yake ya tatu ya mazoezi. Kwa sasa yupo kambini Avic Kigamboni chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi huku kocha wa viungo akiwa ni Helmy Gueldich ambaye. Kocha wa viungo amesema kuwa kabla ya kujiunga na timu kambini alikuwa amepewa mazoezi ya kufanya…
KIUNGO Mnigeria,Nelson Okwa aliyekuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Rivers United uhakika ni mali ya Simba hivyo atakuwa ni miongoni mwa wale ambao watanogesha Simba Day. Nyota huyo alikuwa kwenye mazungumzo ya mwisho na mabosi wa Simba ambao walikuwa wakihitaji kuweza kuinasa saini yake. Kiungo huyo ni raia wa Nigeria anakuwa mchezaji wa kwanza ndani…
MVP Yannick Bangala, baada ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo, inaelezwa kwamba thamani ya mkataba huo ni shilingi milioni 400. Bangala mkononi ana Tuzo ya Kiungo Bora wa Ligi Kuu Bara 2021/22, kiraka huyo yupo hapo mpaka 2024 baada ya ule wa awali kutarajiwa kuisha. Nyota huyo mwenye uwezo wa kucheza beki wa kati…
Meridianbet walipimana nguvu na kikosi cha timu ya wahamasishaji kilichoongozwa na Jemedari Said Kazumari, na Foby wikiendi iliyopita. Kabla ya mechi hii ya kirafiki, pande hizi mbili zilitambiana kuondoka na ushindi na maandalizi yalifanyika vyema kuhakikisha kila timu inajiweka kwenye nafasi ya ushindi. Mechi hii iliyobeba dhumuni kubwa la kuwaleta pamoja wahamasishaji na wafanyakazi wa…
KIPA wa mpira Mohamed Makaka atakuwa ndani ya Mtibwa Sugar kwa msimu wa 2022/23 baada ya kupata dili jipya kwa mabosi hao ambao makao yao makuu ni Morogoro. Alikuwa ni kipa namba moja ndani ya Ruvu Shooting ambapo alikuwa hapo msimu wa 2021/22. Unakuwa ni usajili wa tatu kwa Mtibwa Sugar kuweza kutambulisha baada ya…
ZORAN Maki,Kocha Mkuu wa Simba amekosa kuona ufundi wa majembe matano ya kikosi cha Simba kambini Misri kwa kuwa walikuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars. Ni Kened Juma,Mzamiru Yassin,Kibu Dennis,Aishi Manula na Mohamed Hussein hawataibukia Misri kwa kuwa kikosi hicho kinatarajiwa kurejea kesho kuendelea na maandalizi kuelekea Simba Day,Agosti 8. Kipa…
INAELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Singida Big Stars,Hans Pluijm atatangazwa rasmi na benchi lake jipya Uwanja wa Liti Agosti 4 siku ya tamasha lililopewa jina la Big Day Habari zinaeleza kuwa Singida Big Stars imefikia hatua nzuri na Pluijm kuweza kurejea kwa mara nyingine tena kwenye ardhi ya Tanzania aliwahi kuifundisha Yanga,Azam FC na Singida…
MASHINE mbili za kazi ndani ya kikosi cha Yanga ni uhakika kuwa ndani ya kikosi hicho baada ya kuongeza madili mapya mpaka 2024. Ni Djuma Shaban mzee wa kumwaga maji na mchezaji bora wa msimu wa 2021/22 Yannick Bangala wote wawili raia wa DR Congo wameongeza kandarasi ya miaka miwili. Wawili hao walihusika kwenye mabao…
ZORAN aomba video za Mayele,straika wa kazi mlangoni Yanga ndani ya Championi Jumatano
TAMBO kwa sasa kwa zinazidi kutawala ambapo kila mmoja anaamini kwamba amefanya usajili mzuri na anaweza kuchukua kila kitu ambacho anakihitaji. Ipo hivyo na ni maisha ya mpira hakuna anayeweza kuzuia maneno ambayo yanatokea lakini ukweli unabaki ukweli kwamba mpira unahitaji vitendo zaidi. Yale maneno ambayo yamekuwa yakitolewa na mashabiki pamoja na viongozi yana muda…
SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa usajili ambao umefanywa kwa ajili ya maboresho ya kikosi hicho kunawafanya warudi msimu ujao wakiwa na kasi nyingine. Nyota sita wametambulishwa Simba ikiwa ni wazawa wawili ambao ni Habib Kyombo na Nassoro Kapama huku wageni ikiwa ni Moses Phiri, Mohamed Outtara,Victor Ackpan,Auhgustine Okra. Matola amesema kuwa kwa namna ambavyo…
KAMPUNI ya Michezo ya kubashiri ya SportPesa imeingia mkataba wa makubaliano wenye thamani ya Shilingi Bilioni 12.33 na Yanga SC kwa kipindi cha miaka mitatu, baada ya mkataba wa awali wa miaka mitano kufika ukingoni. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya SportPesa, Abbas Tarimba amesema mkataba huo utakuwa wa miaka mitatu wenye thamani ya kiasi…
SIMBA inanukia fedha baada ya kusaini dili na M Bet lenye tahamani ya bilioni 26.1 mkwanja ambao unatajwa kutolewa kwa mafungu kila mwaka kukiwa na ongezeko la fedha kutoka kwa wadhamini hao
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasredine Mohammed Nabi amelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kutokana na ratiba yao ya Ligi kuwabana wachezaji kiasi cha kukosa muda wa kutosha wa kupumzika. Nabi raia wa Tunisia ambaye ameiongoza Yanga kutwaa mataji matatu msimu uliyopita amesema hayo mara baada ya kurejea Kambini, Avic Town ambako…
YANGA kumshusha Dar Manzoki kwenye Wiki ya Mwananchi ambayo inatarajiwa kufika kilele chake Agosti 6,Uwanja wa Mkapa
KIUNGO Mnigeria Victor Akpan ambaye ametambulishwa ndani ya Simba ameweka wazi kuwa kwa msimu ujao anaamini kuwa watashinda makombe baada ya timu hiyo kuwa na wakati mbaya msimu uliopita. Tayari kiungo huyo ametambulishwa ndani ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili akitokea kikosi cha Coastal Union. Akpan alitupia bao moja na kutoa pasi mbili ndani…