
YANGA WATAJA SABABU YA KUMPA MKATABA AZIZ KI
BAADA ya kukamilisha utambulisho wa kiungo wa Yanga, Aziz KI uongozi wa Yanga umetaja sababu ya kumsajili kiungo huyo kuwa ni uwezo wake. Inaelezwa kuwa usajili wa kiungo huyo aliyekuwa anakipiga ndani ya ASEC Mimosas umewatoa Yanga milioni 700 akiwa amepewa kandarasi ya miaka miwili kuwatumikia mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Bara. Ofisa Habari…