
VIDEO:OSCAR OSCAR AWACHAMBUA BANGALA/OKRAA
MCHAMBUZI Oscar Oscar amewachambua mastaa wa Simba na Yanga ikiwa ni pamoja na Yannick Bangala,Augustino Okra
MCHAMBUZI Oscar Oscar amewachambua mastaa wa Simba na Yanga ikiwa ni pamoja na Yannick Bangala,Augustino Okra
KUELEKEA Simba v Yanga itakuwa ni noma kutokana na vikosi kuwa imara kwa timu zote msimu wa 2022/23
MASTAA wawili ndani ya Yanga, Chico Ushindi na Yacouba Songne hawatakuwa kwenye mpango wa kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23 ambapo leo Julai 19,2022 Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara ameweza kuzungumzia suala hilo
AGOSTI 8,2022 inatarajiwa kuwa siku rasmi ya Simba Day ambayo itafanyika Uwanja wa Mkapa. Siku hiyo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi la timu hiyo ambayo kwa sasa ipo chini ya Kocha Mkuu,Zoran Maki. Timu hiyo imeweka kambi nchini Misri ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi…
MASTAA watano wa Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Zoran Maki wamewasili nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23. Ni Taddeo Lwanga,Peter Banda,Moses Phiri,Henock Inonga na Nassoro Kapama ilikuwa ni Julai 18 na walianza mazoezi pamoja na mastaa wengine ikiwa ni pamoja na John Bocco,Meddie Kagere
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa wanafanya vikao kuweza kujadili wapi wataweka kambi kwa msimu wa 2022/23. Awali mpango namba moja wa Yanga kuweka kambi ulipaswa kuwa nchini Uturuki lakini umeyeyuka ghafla kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni muda kuwa mdogo. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga,Hassan Bumbuli ameweka wazi kuwa kambi…
KIUNGO mpya wa Simba, Mnigeria, Victor Akpan, ameanza kwa kuwachimba mkwara wapinzani wao Yanga kwa kuwaambia kuwa wasubirie moto wake katika mchezo wa Ngao ya Jamii ili apunguze maumivu ya kukosa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) akiwa na Coastal Union. Kiungo huyo amejiunga na Simba kwa mkataba wa miaka miwili akitokea…
WAKATI timu kwa sasa zikipambana kusajili wachezaji na kushindana sehemu ya kuweka kambi ulikuwa muda sahihi wa kutambulisha uzi mpya wa msimu wa 2022/23 Kuweka kambi nje ya Tanzania ama ndani ya Tanzania sio jambo kubwa ila unafanya hivyo kwa malengo yapi hapo ni msingi muhim kuzingatiwa. Ndani ya Tanzania kuna sehemu nzuri na…
MILIONI 116 zampeleka Ouattara Simba,vigogo Yanga wakutana Dar ndani ya Spoti Xtra Jumanne
RASMI uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara umethibitisha kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa msimu wa 2021/22. Ikumbukwe kwamba Januari 11,2021 uongozi wa Polisi Tanzania ulibainisha kuwa kocha huyo Malale Hamsini ataendelea kuwa kocha wa timu hiyo baada ya taarifa kuripotiwa kwamba amefutwa kazi. Hatimaye yametimia leo…
KLABU ya Juventus ya Italia imekubali kumuuza beki wake wa kati, Matthijs de Ligt (22) kwenda kwa mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich kwa ada ya Paundi Milioni 68 (Tsh. 186,320,000,000) Taarifa kutoka Ujerumani zinaeleza kuwa beki huyo wa kimataifa wa Uholanzi atasaini mkataba wa miaka mitano na Bayern mara baada ya kukamilisha vipimo vya afya…
MFUNGAJI bora wa msimu wa 2021/22 mzawa George Mpole kwa msimu wa 2022/23 huenda akabaki ndani ya Geita Gold baada ya mpango wa kujiunga na vigogo wa Dar,Yanga,Simba na Azam FC kugota ukingoni
YASSIN Mustapha leo Julai 18,2022 ameweza kutambulishwa kuwa ni mali ya Klabu ya Singida Big Stars. Beki huyo msimu wa 2021/22 alikuwa anakipiga ndani ya mabingwa wa ligi ambao ni Yanga. Ni dili la miaka miwili ameweza kusaini kuweza kupata changamoto mpya katika timu mpya ambayo atakuwa anacheza kwa msimu ujao. Kwa mujibu wa Ofisa…
UONGOZI wa Simba umesema sababu ya kumuongeza mkataba Mzamiru Yassin ni uwezo wake jambo ambalo limewafanya waweze kukaa naye mezani na kumpa dili jipya. Mzawa huyo mwenye uwezo wa kupanda na kushuka alikuwa na nafasi kikosi cha kwanza msimu wa 2021/22 kwenye mechi za ligi na zile za kimataifa. Ni dili la miaka miwili ameongeza…
BEKI wa Liverpool,Andy Robertson ameweka wazi kuwa ingizo jipya ndani ya kikosi hicho Darwin Nunez utaleta mabadiliko kutokana na uwezo wake. Ni pauni milioni 85 zimetumika na Liverpool kuipata saini ya Nunez mwenye miaka 23 ambaye ametoka Klabu ya Benfica,mwezi uliopita. Nyota huyo alishindwa kuonyesha makeke kwenye mchezo wake wa kwanza wa kirafiki wakati timu…
KLABU ya Simba ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha inamalizana na straika wa Vipers, Cesar Manzoki ambaye mkataba wake umebaki miezi miwili, huku miamba ya Uganda ikigoma kumuachia ikidai shilingi milioni 100. Manzoki ni miongoni mwa wachezaji ambao walitarajiwa kuungana na kikosi cha Simba kilichoweka kambi nchini Misri kujiandaa na msimu ujao wa 2022/23, lakini hadi…
UONGOZI wa Azam FC, umeweka wazi kuwa usajili ambao wameufanya kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23 umezingatia mapendekezo ya benchi la ufundi kwa asilimia kubwa. Tayari Azam FC imewatambulisha mastaa 8 ikiwa ni pamoja na Cleophance Mkandala kutoka Dodoma Jiji,Isah Ndala kutoka Plateau United,Tape Edinho kutoka ES Bafing,Kipre Junior kutoka Sol FC. Pia yupo…