
NABI: MECHI ZA UGENINI ZILIKUWA NGUMU
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa mechi za ugenini zilikuwa ni ngumu ila wanachofurahia ni kupata matokeo chanya. Mechi ya kwanza kwa msimu wa 2022/23 ilikuwa dhidi ya Polisi Tanzania ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ulisoma Polisi Tanzania 1-2 Yanga na ule wa pili ulisoma Coastal Union 0-2 Yanga. Kinara wa…