
MBINU YA SIMBA KUTWAA UBINGWA IPO HIVI
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utapambana kuhakikisha unapata pointi nyingi mzunguko wa kwanza ili kuweza kufikia malengo ya kutwaa ubingwa. Kwa sasa mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ambaye alikiongoza kikosi cha Yanga kutwaa ubingwa bila kufungwa. Kikosi cha Simba kinanolewa na Kocha Mkuu, Zoran Maki aliyechukua mikoba…