
AZAM FC KUKIPIGA NA DODOMA JIJI, BURE KUWAONA MASTAA
KIKOSI cha Azam FC leo Novemba 9 kina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Timu hiyo iliyo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala imekuwa kwenye mwendo mzuri baada ya kushinda mechi mbili za ligi mfululizo kwa kuanza na Simba kisha Ihefu na…