HAJI MANARA ATEMA NYONGO BAADA YA YANGA KUBEBA UBINGWA – VIDEO
Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amesema Rais mtarajiwa wa klabu hiyo Injinia Hersi Said ndiyo mwamba aliyeleta mafanikio makubwa ndani ya klabu hiyo kutoka na kujitoa kwake kuipambania Yanga katika kila hatua. Manara amemmwagia Hersi sifa hizo wakati akiongea na waandishi wa habari katika mkutano wake ambao ameupa jina la Mkutano wa kuhutubia…