Saleh

SOPU KAANZA KUIKABILI YANGA KWA MKAPA

NYOTA Abdul Seleman,’Sopu’ kiungo wa Azam FC ameanza kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa leo Desemba 25,2022 dhidi ya Yanga. Ikumbukwe kwamba alipokuwa Coastal Union Sopu alifunga hat trick kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga jambo lililowavutia mabosi wa Azam FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ukisubiriwa kwa…

Read More

AZAM FC V YANGA VITA YA DAKIKA 90

CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu lakini wamefanyia kazi makosa waliyofanya kwenye mzunguko wa kwanza hasa katika mipira ya adhabu. Dakika 90 zitatoa majibu kwenye mchezo wa leo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu hizo mbli. Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa…

Read More

IHEFU HAWANA JAMBO DOGO WATOA ZAWADI YA CHRISTMAS

KABLA ya mabox kuanza kufunguliwa tayari Ihefu wameshakamilisha kutoa zawadi yao kwa mashabiki zao. Ni msimu wa sikukuu wa Christmas na Mwaka Mpya 2023 pointi tatu waliziweka kibindoni na kuwapa zawadi ya furaha mashabiki zao. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Highland Estate, Septemba 24 ulisoma Ihefu 3-1 Mtibwa Sugar. Mabao kwenye mchezo…

Read More

HATARI YA CHAMA IPO NAMNA HII

KINARA wa pasi za mwisho ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Clatous Chama ana hatari kila baada ya dakika 104 akiwa uwanjani. Ni mabao matatu katupia kibindoni akiwa ametoa jumla ya pasi 9 anafuatiwa na Ayoub Lyanga wa Azam FC ambaye ametoa pasi 7 na katupia bao moja. Simba ikiwa imetupia mabao 37 baada ya…

Read More

WAAMUZI UMAKINI UNAHITAJI KWENYE MAAMUZI

UNAONA mzunguko wa kwanza ulianza kwa kelele nyingi kutokana na waamuzi kuoneana wakifanya maamuzi ambayo yalikuwa yanaleta utata kwa wachezaji pamoja na mashabiki kushindwa kuelekewa kinachoendelea. Matukio ya kushindwa kutafsri sheria 17 yalikuwa yakiwapeleka mara kwa mara kwenye kamati za maadili kisha wakirejea wanaendelea kuwa kwenye ubor wao. Hii inamaanisha kwamba waamuzi tulioano uwezo wanao…

Read More

JEMBE JIPYA SIMBA LAIBUKIA MWANZA

BAADA ya kujiunga na kikosi cha Simba na kutambulishwa rasmi leo Desemba 24,2022 kiungo Said Ntibanzokiza ameibukia Mwanza. Nyota huyo ambaye alikuwa ndani ya kikosi cha Geita Gold mwanzoni mwa msimu wa 2022/23 atakuwa na uzi wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda. Kikosi cha Simba kwa sasa kipo Mwanza ikiwa ni kwa ajili…

Read More

ISHU YA FEISAL YAZUIA GUMZO,TAMKO YANGA LATOLEWA

KLABU ya Yanga imebainisha kuwa mchezaji Feisal Salum bado ni mali yao na dili lake linagota ukingoni 2024. Nyota huyo anatajwa kumalizana na mabosi wa Azam FC ambao wameweka dau nono kwa mchezaji huyo. Yanga wamebainisha kuwa mkwanja ambao alirejesha Feisal wakuvunjia mkataba wake amerudishiwa. Feisal ameweka wazi kuwa anashukuru kwa muda ambao wamekuwa nao…

Read More

FEISAL KUIBUKIA AZAM FC

NYOTA wa Yanga Feisal Salum anatajwa kumalizana na mabosi wa Azam FC ambao wanahitaji huduma yake. Nyota huyo anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Azam FC ambao wanahitaji kuboresha kikosi chao. Mabosi wa Yanga hivi karibuni waliweka wazi kuwa nyota huyo hawezi kusepa ndani ya kikosi hicho kutokana na mipango iliyopo ndani ya timu…

Read More

KLOPP ANACHEKA ISHU YA USAJILI WA JUDE

KOCHA Mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp alicheka alipoulizwa kama Liverpool inaweza kumsajili Jude Bellingham mnamo Januari lakini alikiri kuwa klabu hiyo imejiandaa kwa dirisha lijalo la usajili. Liverpool wamekuwa wakihusishwa na kiungo wa kati wa Borussia Dortmund Jude Bellingham ili kuimarisha safu yao ya kati ambayo ubora wake umeporomoka kutokana na kuwa na wachezaji ambao…

Read More

MATUMAINI YA UBINGWA KWA RANGERS YAPO

NYOTA John Lundstram bao lake la kipindi cha kwanza liliweka hai matumaini ya Rangers ya ubingwa wa Ligi Kuu ya Scotland walipoilaza Ross County 1-0 huko Dingwall. Kombora kali la kiungo huyo lilimfanya bosi mpya Michael Beale kupata ushindi mara tatu ndani ya siku nane pekee baada ya kipa Jon McLaughlin ambaye alifanya kazi kubwa…

Read More