Saleh

NUNEZ AOMBA RADHI

DARWIN Nunez, mshambuliaji wa Liverpool ameomba radhi kwa kitendo chake cha kumpiga kichwa beki wa Crytal Palace, Joachim Andersea akisisitiza kuwa amejifunza kutokana na makosa. Tukio hilo lilitokea kwenye mchezo wa Liverpool dhidi ya Crystal Palace uliochezwa Uwanja wa Anfield, juzi Jumatano na kwa tukio hilo nyota huyo alitolewa kwa kadi nyekundu. Ni mchezo wa…

Read More

SIMBA YASHINDA 3-0 GEITA GOLD

ZORAN Maki,Kocha Mkuu wa Simba amesema ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Gold walistahili kwa kuwa wachezaji walicheza kwa kujituma. Mabao ya Simba kwenye mchezo wa leo Agosti 17 yamefungwa na Agustino Okra,Moses Phiri na Clatous Chama ambaye amefunga kwa mkwaju wa penalti. Ushindi huo unaifanya iweze kufikisha pointi tatu na kuongoza ligi ikiwa…

Read More

SIMBA QUEENS YAPATA USHINDI KIMATAIFA

SIMBA Queens leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Corporate FC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa kwa Wanawake uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Mchezo huo ni wakuwania kupata nafasi ya kufuzu mashindano hayo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa dk zote 90. Mabao ya Simba yamefungwa na Aquino Corazone dk ya 21 akitumia…

Read More

SOPU APEWA TUZO, KUIKOSA KAGERA SUGAR LEO

KIUNGO Abdul Suleiman ambaye ni ingizo jipya ndani ya Azam FC, alipewa zawadi ya kuku na shabiki wa Azam FC hivi karibuni, leo Agosti 17 atakosekana kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar kwa kuwa alipata maumivu kwenye mazoezi. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa mchezaji huyo alipata maumivu baada…

Read More

KELVIN NASHON:TUTATUMIA PLAN B KUIKABILI SIMBA

 KIUNGO wa Geita Gold, Kelvin Nashon amesema kuwa anatambua wapinzani wao Simba ni imara lakini wao wataingia na plan mbili ikifeli ya kwanza watatumia ya pili ili kupata matokeo. Leo Agosti 17,2022 Simba inatarajiwa kuwakaribisha Geita Gold kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. Unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa timu zote…

Read More

MZUNGU WA SIMBA ABAINISHA ATAREJESHA FURAHA KWA MASHABIKI

MZUNGU wa Simba,Dejan Georgejick amesema kuwa anaumia kuona kwamba timu hiyo imepoteza kwa kufungwa mbele ya Yanga hivyo anaahidi kwamba atarejesha furaha kwa kuwa anatambua kila kitu kinawezekana. Mshambuliaji huyo amecheza mechi mbili ilikuwa moja ya kirafiki dhidi ya St George na moja ilikuwa ni ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga ambapo walipoteza kwa…

Read More

MSAKO WA POINTI TATU ZA YANGA MBELE YA POLISI TANZANIA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara jana waliweza kuendelea pale walipoishia kwa kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wao wa kwanza wa ligi. Wakiwa ugenini Uwanja wa Sheikh Amri Abeid waliweza kushuhudia bao moja la Polisi Tanzania likifungwa na Salum Kipemba ambaye alifunga bao hilo baada ya mpira wa nahodha…

Read More

KIUNGO SERGIO GOMEZ NI MALI YA CITY

SERGIO Gomez ambaye ni kiungo amesaini dili la miaka minne kuweza kuitumikia Klabu ya Manchester City. City ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu England wameinasa saini ya nyota huyo ili aweze kupata changamoto mpya ndani ya Ligi Kuu England. Nyota huyo mwenye miaka 21 amesajiliwa kwa dau la pauni milioni 11 akitokea Klabu ya Anderlecht…

Read More

KOCHA MAKI WA SIMBA ALIA NA RATIBA KUBANA

KOCHA Mkuu wa Simba, Zoran Maki amesema kuwa alipata muda mdogo kufanya maandalizi kuikabili Geita Gold kutokana na kumaliza mchezo dhidi ya Yanga wa Ngao ya Jamii,Uwanja wa Mkapa.  Simba ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 huku mabao ya Yanga yakifungwa na Fiston Mayele ambaye alifunga mabao yote mawili na lile la Simba likifungwa na Pape…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI LEO NA MATOKEO

 LEO Agosti 17,2022 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo timu sita zitakuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Coastal Union v KMC, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Arusha. Simba v Geita Gold, Uwanja wa Mkapa. Azam FC v Kagera Sugar,Uwanja wa Azam Complex. Jana Agosti 16 zilichezwa mechi kwenye viwanja tofauti na matokeo yalikuwa namna hii:-…

Read More

MBWANA SAMATTA NI KRC GENK

AGOSTI 16,2022 Klabu ya KRC Genk imemtambulisha Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, Mbwana Samatta kuwa ni nyota wao mpya. Samatta anarejea kwenye klabu hiyo baada ya kupata changamoto mpya Januari 2020 na kuhamia Klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England. Samatta amejiunga na Genk akitokea Klabu ya Fenerbahçe kwa mkataba wa mwaka…

Read More

YANGA WAPINDUA MEZA MBELE YA POLISI TANZANIA

 MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamefungua pazia la Ligi Kuu Bara kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Arusha. Kwenye mchezo huo ambao ulikuwa ni wa kasi mwanzomwisho, mabao yalifungwa na Salum Kipemba dk ya 34 kwa Polisi Tanzania yale ya Yanga yalifungwa…

Read More