
VIDEO:JEMBE ATOBOA SIRI UCHAGUZI SIMBA/MKATABA CEO MPYA MDOGO
JEMBE atoboa siri uchaguzi Simba/mkataba CEO mpya mdogo
JEMBE atoboa siri uchaguzi Simba/mkataba CEO mpya mdogo
KOMBE la Shirikisho Azam Sports Federation limezidi kuunguruma ambapo leo kuna mechi zitachezwa kusaka zile ztakazoshinda kutinga hatua ya 16 ora. Miongoni mwa mechi ambazo zinatarajiwa kuchezwa leo ni pamoja na Simba dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Mkapa. Kwa mechi ambazo zilichezwa jana, Januari 27, matajiri wa Dar, Azam FC walishusha kichapo kwa Dodoma…
BAO pekee ambalo lilipeleka kilio kwa washika bunduki Arsenal kwenye mchezo wa raundi ya 4 FA Cup lilipachikwa kimiani na nyita Nathan Ake. Kwenye mchezo huo uliokuwa unaushindani mkubwa mashabiki wa Arsenal walishuhudia dakika 45 ngoma ikiwa ni nzito kwa timu zote mbili wakiamini watafanya jambo. Ubao ulipabdilika usomaji dakika ya 64 ambapo ulisoma Manchester…
CEO Simba aanza na nyundo 5, Nabi afanya maamuzi mazito ndani ya Championi Jumamosi
KOCHA Mkuu wa Klabu ya US Monastir ya Tunisia, Darkov Novic ameweka wazi kuwa wanatambua wapinzani wao Yanga ni miongoni mwa timu bora katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini mipango yao ni kuhakikisha wanapata ushindi mkubwa kwa kuwa wanawajua vizuri na wamekuwa wakiwafuatilia wanapocheza. Novic ametoa kauli hiyo kuelekea katika mchezo wa kwanza…
KLABU ya Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya kumsajili Malo Gusto wa Lyon, kwa Euro milioni 40 (Sh bil 101.4) kwa mujibu wa ripoti mbalimbali za habari ikiwemo ESPN. Hakuna ofa rasmi iliyotolewa na Chelsea kwa Gusto, lakini tayari amekubaliana na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka sita na nusu na anataka kuhamia Stamford Bridge. Lyon…
STAA wa Ufaransa, Kylian Mbappe anataka PSG imsajili Bernardo Silva wa Man City ili kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji la klabu hiyo. Mbappe anamtaka Silva kwenda kuungana naye Parc des Princes mwishoni mwa msimu huu. Silva, 28, alimwambia Rob Dawson wa ESPN msimu uliopita wakati wa majira ya joto kwamba mustakabali wake ndani ya…
KOCHA wa Manchester United, Erik ten Hag alisema kwamba timu yake ina nafasi nzuri ya kushinda taji lao la kwanza tangu 2017 msimu huu. Ten Hag aliyasema hayo wakati wanajiandaa kwa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Carabao dhidi ya Nottingham Forest juzi ambao walishinda mabao 3-0. United imekosolewa na mashabiki wao…
Wikiendi hii ni ya kibabe Zaidi ikisindikizwa na Odds bomba na kubwa kutoka Meridianbet, ni FA Cup, Serie A, La Liga, Ligue 1 na Bundesliga zote kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti Jumamosi na Jumapili. LALIGA ya moto sana, Barcelona kinara kwenye msimamo atakuwa ugenini dhidi ya Girona, ikumbukwe mchezo uliopita wa Barca alipata ushindi mwembamba….
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wachezaji wote wa timu hiyo wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Coastal Union. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya kikosi cha Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo. Ni Januari 28,2023 ambayo ni Jumamosi utapigwa…
JANUARI bado inaendelea na maneno kuhusu huyu mwamba ndani ya Manchester City ni balaa. Kwa kutupia dani ya Premier League ni mkali wa kutupia kwenye ligi zote duniani zenye ushindani mkubwa. Mabao yake 25 yamewaacha mabeki wa Premier League wakiwa na hofu akivunjavunja rekodi za wababe wengi ndani ya ligi hiyo pendwa. Amevuka idadi ya…
MFUMO wa 4-4-2 anaotumia Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi kwa kuwachezesha washambuliaji wawili, huenda ukawavurugia viungo wa timu hiyo baadhi kujikuta wakisotea benchi katika michezo ijayo. Hiyo ni baada ya Yanga kufanikiwa kuipata saini ya mshambuliaji Mzambia, Kennedy Musonda katika usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15, mwaka huu. Nabi amelazimika kutumia mfumo wa…
BAADA ya kikosi cha Yanga chini ya Kocha Nasreddine Nabi kugotea kwenye mechi 49 mfululizo kucheza bila kupoteza katika Ligi Kuu Bara, kasi yao imekuwa ni moto wa kuotea mbali kwa kushusha dozi kila wanayekutana naye, huku ikiaziacha mbali Simba na Azam. Ikumbukwe kwamba, Novemba 29, 2022 kwenye Uwanja wa Highland ubao uliposoma Ihefu 2-1…
HAKUNA anayependa kuona anakosa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza kwenye mechi ambazo timu yake itakuwa inacheza ndani ya uwanja. Imekuwa kawaida kwa wachezaji wanaopewa nafasi kutoonyesha utofauti wao na yule ambaye anakuwa asungua benchi jambo ambalo linapaswa kuwa tofauti. Sababu kubwa ya wachezaji kuwekwa benchi ni kushindwa kwenda na mpango kazi wa benchi la…
WAARABU watuma mashushushu Yanga SC, mabosi Simba watua kijeshi Guinea ndani ya Championi Ijumaa
ZAIDI ya watanzania 142 wamenufaika na ajira kupitia Meridianbet Tanzania, ikiwa ni moja ya ndoto ya kampuni hiyo inayotoa huduma za michezo ya kubashiri mtandaoni. Akizungumza katika uzinduzi wa duka la Meridianbet lililopo Mtaa wa Tandika Majaribio, Temeke, Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Tanzania, Matina Nkurlu, alisema kuwa kama…