
TUZUNGUMZE KUHUSU MUZIKI, YUPI NI MTAYARISHAJI MKALI?
KUNA kazi nyingi kali za muziki ambazo zinatengenezwa na watayarishaji kila leo, wapo ambao bado wapo kwenye game Bongo na wapo ambao walitangulia mbele za haki, ila kazi zao bado zinaishi hapa kuna orodha ya watayarishaji wa muziki, tuambie yupi ni mkali kwako na ngoma ipi ambayo unaikubali kinomanoma? 1. P Funk 2. Master Jay…