BANGALA AKUTANA NA THANK YOU YANGA
YANICK Bangala beki aliyekuwa ndani ya Yanga msimu wa 2022/23 amekutana na Thank You. Ni Julai 29 taarifa rasmi kutoka Yanga imeeleza kuwa nyota huyo hatakuwa kwenye kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Taarifa hiyo imeeleza namna hii: “Uongozi wa Young Africans SC unapenda kuutarifu umma kuwa tumefikia makubaliano na Klabu ya Azam FC ya…