
WASIO NA TIKETI WAPEWA TAHADHARI HII SIMBA DAY
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa kwa wale ambao hawana tiketi za Simba Day ni muhimu kubaki nyumbani au wasifike maeneo ya Uwanja wa Mkapa. Agosti 6 ni kilele cha Simba Day ikiwa ni siku maalumu ya utambulisho wa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wa Simba. Tayari…