
LUIS AMEANZA KAZI UTURUKI
LUIS Miquissone kiungo wa Simba baada ya kujiunga na wachezaji wenzake nchini Utuki ameanza mazoezi tayari kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24. Kiungo huyo wa Simba alisepa hapo 2021 na kuibukia Al Ahly ambapo huko hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza kutokana na ushindani wa namba. Hivi karibuni alifikia makubaliano ya kuvunja mkataba na…