
VIDEO:TAZAMA MASHABIKI WA SIMBA UWANJA WA MKAPA
AGOSTI 6 ni Simba Day ambapo mashabiki wengi wamejitokeza kushuhudia burudani
AGOSTI 6 ni Simba Day ambapo mashabiki wengi wamejitokeza kushuhudia burudani
LEO Jumapili kwenye Uwanja wa Wembley, Arsenal na Manchester City zinakutana kwenye mechi ya Ngao ya Jamii kuashiria kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu England. Huu ni mchezo wa 115 wa Ngao ya Jamii unacheza tangu michezo hii ilipoanza kuchezwa mwaka 1908. Mchezo wa Ngao ya Jamii huzikutanisha timu bingwa wa Kombe la FA…
HAFIZ Konkoni mshambuliaji mpya wa Yanga amesema kuwa yupo tayari kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24. Nyota huyo anatajwa kuwa mbadala wa mshambuliaji Fiston Mayele ambaye amesepa Yanga na kuelekea kupata changamoto mpya ndani ya Pyramids ya Misri. Mayele ameweka wazi kuwa anaamini wachezaji wapya ambao wapo ndani ya kikosi cha Yanga pamoja na…
MABOSI wa Chelsea wamekamilisha usajili wa beki, Axel Disasi kutoka Monaco kwa pauni milioni 40 kwa mkataba wa miaka sita. Staa huyo pia alikuwa kwenye rada za Manchester United na Newcastle ambao pia walikuwa na nia ya kumsajili. Disasi aliweka wazi kuwa anatamani kushinda makombe na kufanya mambo makubwa akiwa Chelsea. Akizungumza na tovuti rasmi…
“HISTORIA mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY. Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi.” Hii ni taarifa fupi ambayo ilitolewa na Simba Alhamisi kuelekea kilele cha tamasha lao kubwa Agosti 6 2023. Yamebaki masaa tu, kabla ya tukio hilo kubwa na la kihistoria ambapo uongozi wa Simba umebainisha kuwa…
AZAM FC wamezidi kuongeza makali yao kwa ajili ya msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Moto wao hauzimi ikiwa ni kasi juu ya kasi baada ya kutoka Tunisia ambapo waliweka kambi ya muda. Kwa msimu wa 2022/23 Azam FC ilipishana na ubingwa wa ligi ambao ni Yanga walitwaa taji hilo na walipokutana na Yanga…
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa kwa wale ambao hawana tiketi za Simba Day ni muhimu kubaki nyumbani au wasifike maeneo ya Uwanja wa Mkapa. Agosti 6 ni kilele cha Simba Day ikiwa ni siku maalumu ya utambulisho wa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wa Simba. Tayari…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa utaanza na Ngao ya Jamii kwenye ufunguzi wa msimu wa 2023/24. Yanga na Azam zinatarajiwa kumenyana Agosti 9 Uwanja wa Mkwakwani ikiwa ni hatua ya nusu fainali. Ofisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amesema kuwa wapo tayari kwa msimu mpya na wataanza na Yanga. “Mchezo wetu wa kwanza…
KOCHA mkuu mpya wa PSG, Luis Enrique anafikiria kujiuzulu nafasi yake baada ya mwezi mmoja tu, katika kazi hiyo huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni machafuko ambayo yanaendelea katika klabu hiyo hususani sakata la staa wa timu hiyo, Kylian Mbappe. Ripoti kutoka nchini Hispania zinaeleza kuwa, Enrique ambaye aliteuliwa kuwa kocha mkuu wa PSG mwanzoni…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Simba amesema Wanasimba wote wenye tiketi za Simba Day wajitahidi kuzilinda. Agosti 6 2023 ni kilele cha Simba Day ambapo watafanya tamasha lao kwa kutambulisha wachezaji wapya na wale waliokuwa katika kikosi cha Simba msimu wa 2022/23. Miongoni mwa wachezaji wapya ndani ya Simba ni Fabrice Ngoma ambaye alikuwa…
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wanahitaji kuongeza umakini katika kutimiza majukumu yao yote. Timu ya Yanga imeweka kambi AVIC Town ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Yanga ni mabingwa watetezi baada ya kutwaa taji la ligi msimu wa 2022/23 pia wana kibarua cha kutetea Ngao ya Jamii. Agosti…
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaondoa presha mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia muda walioupata katika kambi yao nchini Uturuki, umewasaidia kuwajenga. Ipo wazi kuwa Simba wanatambua kwamba ni Yanga walitwaa taji la ligi msimu wa 222/23 hivyo kocha huyo amewaandaa vizuri wachezaji wa timu huyo kwa ajili ya msimu ujao. Simba…
SIMBA unyama ni mwingi mpaka unamwagika, Straika Yanga apewa beki mwanajeshi ndani ya Championi Jumamosi
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele, amesema anaamini usajili uliofanywa na timu hiyo, unatosha kabisa kutetea makombe yote ya ndani katika msimu ujao wa 2023/24. Yanga ina kibarua kigumu cha kutetea makombe yake ya Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports ambayo mshambuliaji huyo alihusika kuyabeba msimu wa…
KUELEKA kwenye Simba Day Agosti 6 2023 Dr Shabiki wa Simba amebainisha kuwa Yanga wana mpango wa kuvuruga tamasha hilo. Yanga imekamilisha jambo lao kwa kuwatambulisha wachezaji wapya kwa ajili ya kuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Yanga imewatambulisha Max Zengeli, Skudu ambao wanaingia kwenye kikosi cha Yanga inayonolewa na Miguel Gamondi….
NYOTA mpya ndani ya kikosi cha Yanga Maxi Zengeli ameweka wazi kuwa yeye sio mtu wa ahadi bali kazi itaongea zaidi uwanjani. Nzengeli ni ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ni FC Maniema alikuwa akikipiga raia huyo wa DR Congo anavaa jezi namba 7 mgongoni kiungo huyo mwenye…