
TUMEWAFUATA HUKOHUKO
TUMEWAFUATA hukohuko, Gamondi:Yanga bado haijachanganya ndani ya Championi Ijumaa
TUMEWAFUATA hukohuko, Gamondi:Yanga bado haijachanganya ndani ya Championi Ijumaa
NI Kariakoo Dabi ndani ya Tanga inasubiriwa kwa shauku kutokana na kila mmoja kushinda kigingi cha kwanza cha nusu fainali. Katika nusu fainali ya pili dakika 90 zilikuwa ni ngumu kwa nyota wote katika kucheka na nyavu kati ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate. Ubao umesoma Simba 0-0 Singida Fountain Gate na kupeleka changamoto…
AZIZ KI mtaalamu wa mapigo huru ndani ya kikosi cha Yanga Agosti 9 akitokea benchi alitupia bao moja dhidi ya Azam FC dakika ya 84. Yanga imeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa hatua ya fainali katika Ngao ya Jamii, Tanga. Huo ulikuwa ni mchezo wa Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali alipomtungua…
KIPA namba mbili wa Simba Ally Salim yupo langoni na ameshuhudia dakika 45 za mwanzolango likiwa salama. Ikiwa ni hatua ya nusu fainali ya pili Ngao ya Jamii Uwanja wa Mkwakwani Tanga. Ubao unasoma Simba 0-0 Singida Fountain Gate. Mshindi wa mchezo wa leo anakwenda kukutana na mshindi wa fainali ya kwanza iliyochezwa Agosti 9.
IKIWA ni mchezo wa nusu fainali ya pili Ngao ya Jamii ni mchezo kati ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate. Mshindi wa mchezo wa leo Agosti 10 anakwenda kukutana na Yanga iliyotangulia kwa kupata ushindi dhidi ya Azam FC. Fainali inatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani, Agosti 13, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Langoni ni Ally…
AGOSTI 10 ni dakika 90 za nguvu kati ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate mchezo wa Ngao ya Jamii ikiwa ni hatua ya nusu fainali ya pili. Beno Kakolanya ameanza kwa upande wa mlinda mlango ndani ya Singida Fountain Gate Kelvin Kijili, Gadiel Michael huyu amepewa kitambaa cha unahodha, Carno, Mangalo, Kagoma, Chukwu, Abuya,…
AZAM FC watakuwa mashuhuda wa fainali Agosti 13 katika mchezo wa Ngao ya Jamii baada ya kugotea hatua ya nusu fainali ya kwanza kwa kupoteza mbele ya Yanga. Licha ya kuanza kwa kasi Agosti 9 dhidi ya Yanga waliambulia maumivu kwa kupoteza mazima mchezo huo dhidi ya Yanga. Ikumbukwe kwamba Yanga ilitwaa taji ya Ngao…
BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuweka wazi kuwa wachezaji wa kigeni wa timu mbili za Singida Fountain Gate na Simba hazijawasilisha vibali vya wachezaji wa kigeni Simba imetoa taarifa nyingine. Agosti 10 mapema TFF ilitoa taarifa kuwa Klabu za Singida Fountain Gate na Simba ndio klabu pekee ambazo hazijawasilisha kibali cha mchezaji yoyote…
UONGOZI wa Chama cha Soka Ubungo (UFA) umeweka wazi kuwa kumekuwa na changamoto ya viwanja katika uendeshaji wa mashindano ya Ndondo Cup ambayo yanaendelea jijini Dar. Shida hiyo ya viwanja inawafanya wachezaji kukwama kutoa ile burudani kwa mashabiki kwa kiwango cha juu kutokana na kuhofia kupata maumivu. Ikiwa ni muendelezo wa 32 Bora ambapo timu…
UONGOZI wa Dodoma Jiji FC umesema maandalizi yao kwa ujumla na jinsi walivyotumia kipindi cha pre season kuwafua zaidi wachezaji wao kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanaimani kubwa ya kumaliza nafasi tano za juu. Dodoma Jiji wanatambua kwamba walipishana na ubingwa msimu wa 2022/23 ambao ulikwenda Yanga. Pia katika mchezo wa mzunguko…
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 kutokana na maandalizi ambayo wamefanya. Timu hiyo yenye maskani yake Kinondoni mchezo wake wa kwanza kwenye ligi takuwa dhidi ya Yanga. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa ligi baada ya kutwaa taji hilo msimu wa 2022/23. Timu…
WALETENI Simba, Onana pewa mzigo mzito ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
KIKOSI cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 Azam FC katika mchezo wa Ngao ya Jamii nusu fainali ya kwanza. Yanga inakuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya Ngao ya Jamii ikiwa ni mara ya kwanza kuanza kushirikisha timu nne. Pia ni mchezo wa kwanza kwa Gamondi kwenye mechi za ushindani baada…
MIAMBA wawili ndani ya nusu fainali ya kwanza katika dakika 45 za mwanzo imetoshana nguvu mchezo wa Ngao ya Jamii. Ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga unasoma Yanga 0-0 Azam FC. Katika dakika 45 za mwanzo nguvu na faulo kwa timu zote za Yanga na Azam FC zimetoshana ambapo kila timu imecheza jumla ya faulo…
MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga ikiwa ni kete yake ya kwanza katika mchezo wa Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali ya kwanza. Kikosi cha kwanza kwa Yanga kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani Tanga ni pamoja na Diarra, Yao, Lomalisa, Mwamnyeto ambaye ni nahodha. Pia yupo Bacca, Aucho, Max, Mudhathir, Musonda, Farid…
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anataka rekodi mpya kwa wachezaji hao kupata matokeo mapema kwenye mechi zaoili kuongeza hali ya kujiamini. Simba kwa sasa ipo Tanga ikiungana na timu nyingine ambazo ni Singida Fountain Gate, Yanga na Azam FC zitakazoshiriki Ngao ya Jamii. Oliveira anakibarua cha kuiongoza Simba kwenye mchezo dhidi ya…
SIO leo tangu msimu wa 2022/23 Yanga na Azam FC wamekuwa wakionyesha upinzani mkubwa uwanjani. Wanafungua kete zao kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya kwanza. Kivumbi leo Uwanja wa Mkwakwani kwa wanaume 22 kusaka ushindi ndani ya uwanja, hapa tunakudondoshea baadhi ya matukio yatakayonogesha mchezo huo:- Mbinu zinafunguliwa mara ya kwanza Mbinu za…