
AZAM FC MBELE YA YANGA HAWANA BAHATI KABISA
KATIKA mechi mbili za ushindani ndani ya dakika 180, matajiri wa Dar Azam FC hawana bahati kabisa mbele ya Yanga. Katika mchezo wa kwanza kumenyana ilikuwa Ngao ya Jamii, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 2-0 Azam FC. Ngoma ikawa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa dakika…