
KARIAKOO DABI IWE YENYE NIDHAMU NA UBORA
KARIAKOO Dabi ipo karibu ambapo kila timu kwa sasa inafanya maandalizi kupata matokeo mazuri. Kikubwa ambacho kinatakiwa ni umakini kwenye kila hatua. Maandalizi mazuri kwa kila timu kwa sasa ni jambo ambalo linahitajika ili kupata matokeo mazuri. Mashabiki wanapenda kuona timu yao inashinda hilo lipo wazi. Si wao tu hata wachezaji furaha yao ni kupata…