
ZILIZOPO MKIANI MUHIMU KUONGEZA JUHUDI
KAZI ni kubwa kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kutokana na kila timu kuonyesha uwezo wake kusaka pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90. Ipo wazi kuwa mzunguko wa kwanza kila timu inapambania malengo yake huku baadhi ya timu zikiwa kwenye nafasi ya mwisho wengi hupenda kuita nafasi ya mkiani. Kikubwa ambacho kinatakiwa kwa timu…