
YANGA: BURUDANI INAREJEA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa burudani inarejea mahali pake baada ya kukosekana kwa muda ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Desemba 2 2023 Yanga inatarajiwa kushuka Uwanja wa Mkapa kumenyana na Waarabu wa Misri, Al Ahly ukiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Ali Kamwe, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga amesema…