Saleh

ZIMBWE JR KUONDOKA SIMBA SC? NGOMA ISHAKUWA NGUMU

NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussen Zimbwe Jr kuna hatihati huenda akaondoka ndani ya kikosi hicho baada ya kanadarasi yake kugota mwisho msimu wa 2024/25. Zimbwe kwenye ukurasa wake rasmi wa Instgarm ameondoa utambulisho wake kuwa ni mchezaji wa Simba SC. Ipo wazi kwamba kwa sasa yupo huru akiwa hajaongeza mkataba na mabosi wake hao…

Read More

YANGA SC YAMALIZANA NA BEKI WA KAZI

INAELEZWA kuwa Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 likiwa ni taji lao la 31 wamekamilisha usajili wa staa wa kimataifa wa Guinea, Balla Moussa Conte Conte ni staa wa kimataifa wa Guinea ambaye anakipiga kwenye Klabu ya CS Sfaxien ya Tunisia. Taarifa zinaeleza kuwa Yanga SC ndiyo ilikuwa timu ya…

Read More

MERIDIANBET YAZINDUA FURSA KUBWA KWA POKER, FESTIVAL MALTA 2025

Meridianbet Tanzania imezindua rasmi qualifiers za Festival Malta 2025 kupitia jukwaa la Playtech Poker, ikikutanisha wachezaji wa Tanzania na fursa ya kushinda package yenye thamani ya TZS 5,550,000, ikijumuisha tiketi ya Main Event Malta, malazi, na pesa taslimu. Kampeni hiyo inaanza Julai 14 na itaendelea hadi Septemba 8, 2025, na qualifiers zinafanyika kila siku kupitia…

Read More

THANK YOU SIMBA SC ZIMEPITA KWA MIAMBA HAWA MAZIMA

THANK You ndani ya kikosi cha Simba SC zinaendelea ambapo kuna mastaa ambao wamekutana nazo na wengine walianza wao kutoa hivyo hawatakuwa ndani ya timu hiyo kwa msimu wa 2025/26. Ni Fabrince Ngoma kiungo wa kazi alikuwa wa kwanza kutoa Thank You ambapo alibainisha kuwa walifanya kazi kwa ushirikiano ndani ya kikosi hicho licha ya…

Read More

PACOME KUONGEZA MKATABA YANGA SC

KIUNGO wa Yanga SC Pacome Zouzoua ambaye mkononi ana tuzo ya mchezaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na NBC msimu wa 2024/25 ndani ya Juni 2025 anatajwa kuwa atasalia ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2025/25. Pacome alikuwa kwenye mwendo bora ndani ya uwanja msimu uliopita akiwa ni chaguo la kwanza…

Read More

ELLIE MPANZU KUONDOKA SIMBA SC? TIMU HII YATAJWA

WINGA wa Simba SC, Ellie Mpanzu anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji ambao wataondoka ndani ya kikosi cha Simba SC kutokana na ofa ambazo zipo mezani. Inaelezwa kuwa Klabu ya RS Berkane Waarabu wa Morocco wamekubali uwezo wa nyota huyo katika anga la kitaifa na kimataifa jambo linalotajwa kuwaleta Tanzania kufanya mazungumzo na Simba SC. Mpanzu…

Read More