VIDEO:SIMBA: MZUNGU AKIANZA KIKOSI CHA KWANZA ATAONDOKA NA MPIRA

MZARAMO ambaye ni shabiki wa Simba amebainisha kuwa ikiwa mzungu wa Simba, Dejan Georgejivic akianza kikosi cha kwanza kabla Sakho,Chama hajachoka ataondoka na mpira kwa kuwa anaweza kufunga mabao matatu, mchezo wa kwanza kwa Dejan kufunga ilikuwa mbele ya Kagera Sugar wakati Simba ikishinda mabao 2-0, Uwanja wa Mkapa