SportsVIDEO:OKRA AMEANZA KWA KUTUPIA,AZUNGUMZA KWA FURAHA Saleh2 years ago01 mins WAKIWA nchini Misri Simba walicheza mchezo wa kirafiki na kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 dhidi ya Ismaily ambayo inacheza Ligi Kuu ya Misri,Okra ameweka wazi kuwa anajukumu la kufanya kazi kubwa kwa msimu ujao kwa ajili ya mashabiki wao. Post navigation Previous: BEKI APEWA MKATABA MGUMU AKUBALI KUSAINI JANGWANINext: YANGA WATAJA SABABU YA KUMPA MKATABA AZIZ KI
BARBRA BANDA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA KWA MWAKA 2024 KWA UPANDE WA WANAWAKE Saleh3 hours ago 0
ADEMOLA LOOKMAN ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA SHIRIKISHO LA SOKA AFRIKA (BALLON D’OR) Saleh4 hours ago 0