VIDEO:TAZAMA NAMNA FAINALI YA SOKA LA UFUKWENI ILIVYOKUWA

JULAI 3 Viwanja vya Coco Beach ilichezwa Fainali ya Soka la Ufukweni kati ya Ilala FC v Mburahati FC ambapo kila timu iliweza kuonyesha uwezo wake mkubwa.

Mwisho ni Mburahati FC walikuwa washindi wa pili baada ya sare ya kufungana mabao 4-4 kisha mshindi ni Ilala FC aliyeshinda penalti 4-3 Mburahati