UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba nyota wao wawili, Dickson Ambundo na Said Ntibanzokiza wameondolewa kambini na Kocha Mkuu, Nasreddine NabI.
Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa Nabi ameamua kuwasisimamisha wachezaji hao na wakirudi Dar watafanya mazungumzo ili kujua nini ilikuwa tatizo