Mzunguko wa 18, ratiba ya Ligi Kuu Bara:-
Mbeya City v Kagera Sugar, Machi 12, Uwanja wa Sokoine.
Coastal Union v Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkwakwani, Machi 12.
Mtibwa Sugar v Geita Gold, Uwanja wa Manungu Machi 13.
Dodoma Jiji v Mbeya Kwanza, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma Machi 13.
Biashara United v Prisons, Machi 15,Uwanja wa Kirumba.
Namungo v Azam FC, Uwanja wa Ilulu,Machi 16.
Yanga v KMC, Uwanja wa Mkapa, Machi 19.
PolisiTanzania v Simba itapangiwa tarehe..